Thursday, December 16, 2010

Muziki sio lazma kwenda Disco

 
Sasa kila jumamosi tunayo MASKANI ya kuburudika wewe nafsi yako na watu wako. Ustaarabu zaidi, kinywaji nusu bei, BBQ na Collection ya muziki wa kucheza hapo hapo uliposimama

Karibuni Maskani Kila Jumamosi
THAI VILLAGE ZAMANI ARABELLA


No comments:

Post a Comment