Remmy Ongala hatunae tena
Mara nyingine kutoa habari sio lazima uwe mwanahabari au umesomea fani hii.Kwa jinsi ambavyo watanzania wengi wameshtushwa na kufo cha mmoja wa magwiji wa mziki tanzania,kila mmoja kwa wakati wake alipopata habari hakuacha kuchukua muda wake na kuwa taarifu wengine kupitia FACEBOOK.
Zifuatayo ni status za watu kuhusiana na taarifa za msiba na jinsi gani watu walivyokuwa na huzuni,mshtuko ndani yake.\
Gerald Hando "R.I.P Dr. Remmy Ongala..a TRUE legend, a TRUE Visonary, a TRUE Doctor! "
John KitimeDr "Remmy Ongala hatunae tena Mwanamuziki wa siku nyingi ambaye aliepitia bendi ya Orchestra Makassy, Super Matimila, na hatimae kumalizia maisha yake akimwimbia Mungu kupitia nyimbo za enjili hatunae tena. Amefariki jana tarehe 12 Desemba 2010, saa sita usiku katika hospital ya Regency mjini Dar."
Sauda Mwilima "MWENYEZ MUNGU AMLAZE MAHARI PEMA PEPON AAMIN,MWANAMUZIK NGUL WA MUZK WA DANS NCHIN TZ.Bnafs ntamkumbuka kwa meng ikiwemo kufanyanae vpnd,na umahr wa nyimbo zake"
Hassan Shuba "Dr. Remmy Ongala iz ded....!!!!"
Murefu Kiss "Bunian Ongara MUNGU IWEKE ROHO YA MAREHEMU MAHARI PEMA PEPON AMIN kamwe sito weza kukusahau katka kazi yako ya muzik uliyokuwa ukifanya hii ni kwa wahapahapa wote"
Sophia Kessy "Muziki ni wa nani? muziki ni wa nani eeh muziki asiliyake wapi? kifo kifo kifo kifo hakina huruma tuta kukumbuka daima Remmy Ongala R I P Brother"
No comments:
Post a Comment