SHEAR HAIR & BEAUTY ISSUE 8 OUT NOW!
*******
Pata nakala yako ya toleo jipya la jarida la maswala ya urembo na nywele la Shear Hair & Beauty ambalo linakupa siri yake ya urembo kwenye ukurasa wa mbele utakutana na Mwamvita Makamba na mwanae Malaika, linapatikana kwa wauzaji wote wa magazeti kwa TSh.5,000 tu! Ndani ya jarida hili pia utamjua mbunifu wa mitindo Vida Mahimbo, utapata kuona picha za harusi ndani ya Beit el Mtoni, pia chachandu za kukupa munkar wa kufanya mazoezi bila uvivu, na mengineo!
No comments:
Post a Comment