Wednesday, December 8, 2010

WHEN THE ROOTS OF HIPHOP GIVE LOVE TO THE NEW WE BECOME STRONGER!!!
Peace y'all!!! Leo YOUNG DEE atakua ana Launch album yake pale Maisha Club, ana list ndefu sana ya Wasanii watakaomsindikiza akiwemo Nakaaya, Jaffarhymes,Angie,Mwasiti na wengineo wengi tu bila kuwasahau wale ambao wametoka nje ya Tanzania na Africa kwa ujumla>> na Mc wenu wa usiku wa leo atakua ni FidQ.
 tukutane pale kati

No comments:

Post a Comment