Tuesday, January 4, 2011

Hapa ndipo alipozikwa Ndugu yetu Shakir Hamdoun Al-marhubi
 Marehemu Shakir alizikwa hapa hyderabad india jana tarehe 3 january baada ya swala ya maghrabi...hapa mwili wake ukipelekwa msikitini kwa ajili ya kuswaliwa
 Walijitokeza pia wanafunzi wengi wa nchi mbalimbali wakenya ,wasomali wasudan,wadjobuti,afghanstan,wahindi kwa ajili ya kwenda kumzika marehemu shakir alikuwa akipendwa na watu wengi


R.I.P KAKA YETU

 Hapa ndipo alipozikwa marehemu shakir,tunamuomba Mmungu aiweke roho ya kaka yetu mahali pema peponi Amin
Baada ya maziko wanafunzi na marafiki mbalimbali walirudi nyumbani ambapo mazishi yalifanyika ,kwa ajili ya maombezi mengine ya kaka yetu,
Mwenyezi mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi
Amin

No comments:

Post a Comment