Friday, March 11, 2011

1 & 2 kutoka Facebook statussalamu kwa ruge....
.by Joseph Mbilinyi on Friday, 11 March 2011 at 22:40.
...ruge hata afanyaje,studio ya wasanii ambayo alimuingiza mkenge rais kikwete ni lazima itarudi mikononi mwa wasanii wa tanzania kama ambavyo kikwete alitangaza ndani ya bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania kuwa amewapa wasanii wa tanzania studio pamoja na pango la nyumba ya kuendeshea hiyo studio,kikwete hakusema alimpa ruge,tht wala hicho chama hewa ambacho hakijasajiliwa kisheria na basata kinachoitwa 'tanzania flava unit'...na ole wao wasanii vibaraka wanaotumiwa na ruge kupitia chama hiki kukwamisha jitihada zetu,ghadhabu ya kitaa itawashukia na hakika hawataliweza balaa lake...peooooples...poooower!!!


.

No comments:

Post a Comment