Monday, March 7, 2011

1 na 2 kutoka Facebook
Je ni kitu gani ungependa kiwepo ktk katiba mpya? sikiliza maoni yafuatayo:
 DEREVA:Trafic wasiwepo barabarani.
MWANAFUNZI:Hesabu zifutwe mashuleni.
 MFANYA BIASHARA:TRA itaifishwe.
WANACHUO:Bodi ya mikopo imilikiwe na Dowans,
WAKAZI WA MBAGALA NA GONGO LA MBOTO: Ghala la mabomu lijengwe IKULU! Ww je?
No hard feeling

No comments:

Post a Comment