Monday, July 20, 2009


Usiku wa kuamkia leo mtoto wa kike wa MB Dogg amefariki dunia, mtoto huyu alikuwa anaitwa Suhaila Mohamed na alikuwa na umri wa miaka 7...atazikwa leo saa 6 mchana.

No comments:

Post a Comment