Wednesday, August 19, 2009




Kutakuwa na “show” kabambe ya sauti na muziki

kutoka kwa The Blue Three wa nchini Uganda wakisindikizwa na wenyeji Alikiba, Malo na Matonya.

Sehemu: Hotel ya MovenPick Dar es Salaam
Siku: Alhamisi
Tarehe: 20 Agosti 2009
Kiingilio: Tshs. 10,000

No comments:

Post a Comment