Movie kali kuzidi zote ya wabongo na. wakenya waishio U.S.A
leo hii nipehabari inakuletea vionjo vya movie ya wa Bongo waishio Marekani na waerekani pia movie hii inajulikana kwa jina la (Baby Powder) itaziduliwa November mwaka 2009
Two IDs plan to stop under-age online knife sales
-
Anyone wanting to buy a blade online would have to complete two age
verification checks under government plans.
1 hour ago
I want to watch this movie so bad!!!!
ReplyDeleteHuyu ndio director wa Mac Muga, video ya Ali Kiba?
ReplyDeleteNdio, jina lake Karabani
ReplyDeleteYuko LA marekani! Kijana mambo yametulia...
ReplyDeletebro big up sana hii nibonge la movie haijawai kutokea East Afrika tunaisubiri sana ok byee
ReplyDeleteBongo stand up, finally na sisi tumo ndani kwenye hii industry!
ReplyDeleteaminia babake mwazo mwisho wabongo siimcheo kilakona lazima tukabe
ReplyDelete