Bongo viberiti vinapanda na kushuka kamaunavyoona mdau hii ndio bongo ya sasa yani kasimpya nguvu mpya majengo ya zamani yote. yanaendelea kupingwa nyundo kama kawaida na kujenga vikwangua anga tu,
COCA-COLA YASHIRIKIANA NA SERIKARI KULINDA VYANZO VYA MAJI WAMI-RUVU
-
Farida Mangube Morogoro
Kampuni ya Coca-Cola imewekeza zaidi ya Shilingi bilioni 5 katika mradi wa
kulinda na kurejesha vyanzo vya maji vya Bonde la Wami-...
17 minutes ago

No comments:
Post a Comment