Tuesday, September 22, 2009


Msondo ngoma yaja tena
Kundi mahiri la muziki nchini Msondo Ngoma limeibuka ghafla na kutangaza kuchopoka na albamu yao mpya ijulikanayo kama Huna Shukurani itakayobeba jumla ya nyimbo saba

No comments:

Post a Comment