Wednesday, September 23, 2009

Jenerali Banza Stoni alivyo washa moto machozi Band,

Banza Stoni akiwa anaimba wimbo wake wa mtaji wa masikini ni nguvuzake mwenyewe akisindikizwa na Machozi Band.











Weekend out photoz ni kutoka Machozi Band ambayo iliwasha moto kwenye sikukuu ya Eid pia Machozi Band iliweza kumualika Msanii machachali Banza Stoni aliwarusha mashabiki wa Machozi kwa nyimbo yake ya ( mtaji wa masikini ) kama unavyoona mdau kwenye hizi picha.

No comments:

Post a Comment