Monday, October 5, 2009




HAYA KARIBUNI WADAU KWENYE SAKATA LA TATTOO BONGO

Hapa bongo tunae mkali wa tattoo anajulikana kwa jina la Boaz, angalia hizi tattoo ni moja ya kazi zake jamaa ni mkali kwenye mambo ya tattoo kama wewe mdau unataka kujichora mawasiliano kupitia No o754343636 karibuni wote.

1 comment:

  1. kujichorachora kama hivi sio inshu yani kwa kifupi umeshakosa chance ya kwenda majuu yani hukujua hilo pole sana broo na sijui utazifuta vipi...haya kaka umeula huu
    by HEMEDI a.k.a full kukandia.

    ReplyDelete