Monday, October 5, 2009


MISS TANZANIA 2009 OYEEE


Mrembo miriam Gerald toka mwanza ndie miss Tanzania 2009 blashaka wadau wa kanda ya Ziwa wanaendelea kupeta kwa maraya pili kwa kunyakua taji la Miss Tanzania tena.

No comments:

Post a Comment