Tuesday, October 6, 2009



Karibuni tena wadau wote kwenye kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kuhusu janga la Rushwa. hatimae janga hili hivisasa limefananishwa na janga la ukimwi ni njia gani itumike kuzibiti janga hili la Rushwaa!

3 comments:

  1. Rushwa...it was a ploy to get rid of wahindis mabeparis...sasa hawa wahindi wame hamia canada, usa, england na kadhalika na wana continue to contribute to the economy where as in tz things are getting worst and chinese are pouring in taking over...i feel sorry for tz...it all started with wazungus' later wahindi's warabus and now wachina...who is next?

    ReplyDelete
  2. Hey hayo yote ulioseha nikweli bro lakini nchi yetu na viongozi wetu ndio wana penda kama wangekua hapendi isingekuwa hvyo....

    ReplyDelete
  3. wWAS IT A PLOY, YOU ARE LIER, INDIANS ARE VERY CORRUPT PEOPLE ALL OVER THE WORLD, IT IS THEIR CULTURE IT IS IN THEIR BLOOD, WALIONDOKA TANZANIA SI KWA VILA WALIPIGWA VITA JUU YA RUSHWA. WALIKUWA WAMEZOEA KUFANYA BIASHARA PEKEE YAO BILA KULIPA KODI NCHI ILIPOAMKA NA KUANXZA KUTOZA KODI NA WABANTU NAO KUINGIA KATIKA BIASHARA KIPATO CHAO KILISHUKA NA KUANZA KUKIMBIA NCHI, HATA HAO AMBA WAKO CANADA, USA NA UIK NI KAJAMBA NANI TU WENGI WAO NI WAAJIRIWA TU NA HAWAFANYI BIASHA ZAO BINAFSI, WENGI AMBAO NI MATAJIRI WAMETOKEA INDIA MOJA KWA MOJA SI EAST AFRICA.

    ReplyDelete