Tuesday, October 13, 2009

ALIBINO FULANI AMETOA NYIMBO MPYA ITWAYO BARUA KWA MAMA.


Ni yule yule muigizaji machachali wa Movie inayokuja kwa kasi “Baby Powder” itakayozindiliwa Atlanta, Ga Nov 14 2009 na ambaye imekubalika ni mkamuaji anayetambaa katika matawi ya juu ametoka na video ya single yake iliyotoka hivi karibuni ya Barua kwa Mama ambayo imegeuka kuwa gumzo hapa duniani kwa njia ya mtandao…yesss si mwingine bali ni Albino Fulani (AF) ambaye siku chache zilizopita aliweka mistari ya singo yake mpya “NAFASI” akishirikiana na Mwana FA aka Binamu na Mr II aka Sugu atakayoizindua BONGO siku ya Xmas Inasemekana walifanikiwa kurekodi video ya singo hii ambayo nayo itazinduliwa Xmas vilevile. Kwa wale msiomfahamu AF ni albino anayehishi nchini marekani ambaye anatumia music kuhamasisha dunia haswa nchi za Africa kuwa maalbnio pia ni watu kama wewe na mimi.ili kuondoa mauaji yanayoendelea..... ENJOI!!!!

No comments:

Post a Comment