Sunday, October 11, 2009






Karibuni tena kweye kumbu kumbu za Mwalimu Nyerere kumbu kumbu hii ni kutoka kwenye jumba la Sanaa ni jumba ambalo liliziduliwa na Mwalimu Nyerere toka octoba 17 - 1983 nimoja ya sehemu ya kumbu kumbu zinazojulkana kimataifa.

No comments:

Post a Comment