Friday, October 9, 2009


Wadau hii picha imetumwa na mdau mmoja wa jijini Nairobi anaomba mchango kwa majirani zake Tanzania kuhusu hii picha ya enzizazama ni kweli tulikua kwenye hali hii !!!

4 comments:

  1. uzushi tu mwanaamu hakuwahi kuwa hivyo.

    ReplyDelete
  2. hata mtu aliyeupload hii picha anaamini kuwa yeye mwenyewe alikuwa hivi?sijui lakini kwa maoni yangu sitaamini kitu kama hichi katika maisha yangu.Huu ni mtazamo tu si chuki........

    ReplyDelete
  3. mimi amuuliza huyo jamaa wa Nairobi mbona sasa hivi hatuoni hao Masokwe kubadilika. vipi iwe zamani tuu? jibu langu ni hili tungekuwa tumetokana na Sokwe basi tungeitwa Wanamasokwe. lakini kwa sababu tunatokana na Adam ndio maana tunaitwa Wanaadamu.na Adamu ndio mtu wa kwanza kuumbwa na Mungu. nafikiri nimefahamika vizuri.

    ReplyDelete
  4. SIDHANI KAMA KWELI TUMETOKEA KIPANDE HIYO YA SOKOMUTU, NAHISI HIZO ZILIKUWA PROPAGANDA ZA WAKOLONI ILI WAANDIKE VITU PASI KUWA NA UHAKIKA, KWANI HATA HIZO READINGS HAZIKO SURE KWANI NI VITU VYA KUSADIKIKA.. . . .BELIEVE IN GOD,

    ReplyDelete