Sunday, November 1, 2009

SIMBA SC. YAONDOKA KIDEDEA HAPOJANA KWENYE UWAJA MPWA WA TAIFA DHIDI YA YANGA FC


Hofu iliokuepo kati ya mpambano la watani wa jadi Simba na Yanga limeisha hapo jana baadaya ya mnyama kutafuna sahani tatu za nyama kutoka yanga bila kulipa.

No comments:

Post a Comment