Monday, March 15, 2010

MSANII MPYA WA MZIKI AINA YA R&B TANZANIA ANAJULIKANA KWA JINA LA ( A.V.I.D) MDAU UNAWEZA UKASIKILIZA KAZI YAKE .






Wadau jioneni ndama huyu aliezaliwa akiwa na miguu sita chini minne mgongoni miwili bilashaka Madakitari wa mifugo Tanzania kama mtabaatika kuiona picha hii unaweza kuchangia kidogo kuhusu ndama huyu.





Kwa mujibu wa Meneja mkazi Aggrey Oriwo wa kampuni la Synovate (Research Reinvented) linaloendesha utafiti wa kibiashara na masoko nchini, sambamba na ukuaji huo pia biashara katika vyombo vya habari zimeshamiri kwa kuongezeka kutokana na makampuni mengi ya kibiashara kufanya matangazo.

Amevitaja vyombo vya televisheni kuongoza kwa shea za biashara kwa 46% vikifuatiwa na redio 40% na magazeti 12% huku makampuni ya mawasiliano yakiongoza kwa kufanya matangazo.

Katika biashara hiyo televisheni ya ITV imeongoza ikifuatiwa na TBC na Chanel 10 katika tatu za mwanzo wakati katika Redio RFA wameshikilia nafasi ya juu wakifuatiwa na Clouds kisha Redio One.

Kwa upande wa makampuni matatu bora yaliyofanya vizuri kwa matangazo (top 3 Spenders 2009) ni pamoja Kampuni la simu za mikononi Tigo 27% wakifuatiwa na Vodacom 19% na Zain 18% huku Tigo wakiongoza pia katika brandi 10 bora kwa 30%, Vodacom 21% na Zain 20%. Makampuni mengine pia yanafuatia baada ya orodha hiyo.




MANI LIVE IN CONCERT UK TOUR LONDON,MANCHESTER,READING,&BRISTOL APRIL 2010 EASTER BANK HOLIDAY W.KEND PARTY PEOPLE GET READY, ITS GOING TO BE CRAZY FOR MORE DEATAILS CONTACT BONGODEEJAYS 07786065519 WATCH THE SPACE!!!!!!






David Beckham set to miss World Cup with injury


David Beckham's chances of playing for England in this summer's World Cup appear to have ended after the midfielder suffered a ruptured Achilles tendon during AC Milan's 1-0 win over Chievo on Sunday.




Maporomoko ya udongo Bududa


Waandishi wetu wa Uganda, Siraj Kalyango na Joshua Mmali walikuwa miongoni mwa waliofika eneo la Bududa mashariki mwa nchi hiyo ambako maporomoko ya udongo yalisababisha vifo vya mamia ya watu. Zifuatazo ni baadhi ya picha kutoka huko.



No comments:

Post a Comment