Thursday, April 22, 2010

HAPA NDIPO ULIPOKUA UNAPATAKA AMTAKIKUFANYA KAZI KAZI WIZITU. NGOJA UPATE BAKORA KWANZA NDIO UJUE KUFANYA KAZI,


Mwanamke shujaa mkazi wa mjini Iringa ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja akiwa amemthibiti kikamilifu kijana anayedaiwa kuwa ni kibaka baada ya kumwimbia mashine ya kusagia nyama nyumbani kwake na kukimbia ,mwanamke huyu aliweza kupambana na kibaka huyo katika eneo la uhindini mjini hapa jana na kumpeleka yeye mwenyewe kituo cha polisi kama alivyo kutwa na camera na mtandao huu.

Ni Kama sinema na kama wanaongea vile ;Mwanamke :Hata huna ujanja tutafika popote kibaka mkubwa wewe unanikimbia mimi sio?



No comments:

Post a Comment