Monday, April 19, 2010

KILA JUMAMOSI MAHALI PA KUKUTANA NA WATOTO WA VYUO VIKUU NI HAPA:




Scholes akionekana akishangilia goli kwa kupongezana na mchezaji mwenzake apo juzi baada ya schiles kufunga goli dakika za nyogeza .




Flaviana matata azidi kupeperusha bendela ya Tanzania huko duniani kama unavyo ona mdau kwenye hizi picha unaweza ukapata stori yote kusu Flaviana kupitia
http://bossip.com










HAPA NDIPO TUKIO LILIPO FANYIKA CHUO KIKUU UDSM NKURUMA HALL

KULIKUA NA NYOMI JIONEE MWENYEWE MANA NILIKOSA NAFASI ILIBIDI NIPANDE JUU.



Members wa BOA wakifuatilia kwa umakini presentation ya mfanyakazi mwenzao

Baada ya presentation nzuri zenye kuwajenga wafanyakazi wa hivi karibuni mana wengi waliokupewo ni wanafunzi wa mwaka wa mwisho wa masomo yao.members waAIESEC TANZANIA CAREER FAIR 2010 walituandalia show moja ambayo ilitupa raha wote tuliohudhuria jionee mwenyewe.


  1. Haya wadau wakati wa kutoa aibu ukafika kama unavyo ona wana chuo wakiserebuka vikali kila mmoja akijituma kuonyesha uwezo wake wa kucheza bila shaka mdau hii stayle wanayo cheza niya kulee kwenye kombe la dunia karibuni sana wadau nihayo tu.




No comments:

Post a Comment