ALBUM YA THE GODFATHER OF GENGE
Album imeshatoka muda kitambo na imesheheni nyimbo nzuri na zenye kusikilizika.Nonini ameanzisha utarabu kwa ajili ya wapenzi wa mziki wake watakao nunua albam yake na haya ndio maneno yake"If u ve purchased a physical original copy of the Godfather album take a picture of it then upload hapa
http://www.facebook.com/album.php?aid=214731&id=51708081517 Wacha nione wagenge true ni wangapi? Great prizes to be won!"
Picha hapa chini ni za baadhi ya wagenge true ambao wameshanunua copy original ya album hii.
No comments:
Post a Comment