Monday, May 24, 2010

KIONJO cha COMIC (Hadithi za Michoro)

Wadau kwa niaba ya brother fede napenda kutambulisha hadithi mpya ambayo yeye ndie anayetunga na kuiandaa.Hapa ndio mwanzo endelea kufuatilia hii hadithi ya comic mana ni ya kusisimua.Tutakuwa tunakuletea hapa kwenye blog yenu,pia kwa habari za njia ya katuni tembelea

No comments:

Post a Comment