Saturday, May 22, 2010

AND THIS IS NIKI MAUJANJA

Niki Maujanja ni msanii wa bongo flava na anaimba miondoko ya hip hop.Ninamtambisha kwenu mana huyu jamaa anaswagga za kipekeee.Amesharekodi nyimbo na witness inaitwa "Imekula kwako",ukitaka kusikiliza fuata hii link
http://www.eastafricantube.com/media/22637/Nick_Maujanja_ft._Witness_-_Imekula_Kwako/
Jamaa na wenzeka weshaanza kutou T-shirt zenye design nzuri na rangi za kupendeza kama unavyoona.Fanya mishe ujipatie t-shirt yako.




No comments:

Post a Comment