Thursday, May 20, 2010

ZHONG HUA GARDEN IMEFUNGWA


NAWATAARIFU WAPENZI NA WASHABIKI WA MACHOZI BAND KUWA
KUANZIA IJUMAA HII HATUTAKUWEPO TENA ZHONG HUA GARDEN
KUTOKANA NA MATATIZO YALIOJITOKEZA NA YAKO NJE YA UWEZO WETU

ZHONG HUA GARDEN IMEFUNGWA KWA AJILI YA MATATIZO YA SEHEMU YENYEWE

BADO TUNAFANYA JITIHADA ZA KUTAFUTA SEHEMU NYINGINE AMBAYO TUTAKUWA TUNAWAPA BURUDANI KILA SIKU ZA IJUMAA
LAKINI ALHAMISI TUNAENDELEA SAVANNAH LOUNGE
NA JUMAPILI NI KAMA KAWAIDA PALE THAI VILLAGE

TUNAOMBENI RADHI SANA KWA USUMBUFU WOWOTE UTAKAOJITOKEZA
KWA KIPPINDI CHOTE HIKI AMBACHO HATUTAWEZA KUWAPA BURUDANI SIKU ZA IJUMAA.........

MACHOZI BAND BADO INAWAPENDA NA TUTAENDELEA KUWA PAMOJA



HABARI ZA MOTO




Mshambuliaji machachali wa yanga na timu ya Taifa amesaini mkataba kuchezea AZAM FC.Habari kamili na kwa undani mtazipa wadau.

No comments:

Post a Comment