Sunday, May 16, 2010

MISS IFM ILIFANA Take a look

Hii ndio meza ya majaji



Mgeni rasmi akitambulisha

Wakati ulifika na wasomi wakaingia uwanjani kuonyesha jinsi walivyo warembo

Hapa walikuwa wanacheza mziki kwa pamoja


Burudani haikuwa mbali nasi,na hivi ndivyo tuluvyo burudika

Ukafika wakati wa maswali.

waliofaulu maswali wakapita na vazi la jioni.kwa kweli walipendeza


Huyu mrembo ndiye aliyeibuka mshindi.Alistahili nafasi hiyo kwa mawazo ya wengi walioenda kutizama.



Hii ni moja ya wakati mgumu sana kwa mamiss mana ndio wanaengulio wanaotakiwa kuendelea na wanaoaga mashindano

No comments:

Post a Comment