MAELEKEZO
Wadau nimekutana na mdau mwenzenu akaniuliza jinsi gani ya kuweka comment ndani ya blog yenu.Nimeona bora nijibu humu ili iwe faida kwa wote.
Ukiangalia vizuri habari zote zinakuwa ndani ya kisanduku.mwisho wa kila kisanduku kuna neno"Permalink " bonyeza hapo utafunguliwa sehemu kwa ajiri ya kuandika na kutuma maoni yako.Karibuni sana kutoa naoni yatakayo tukosoa na kupeleka mbele blog yenu.
WE ARE SERIOUS ON OUR STUDIES
No comments:
Post a Comment