Wednesday, June 9, 2010

FAHARI YA TANZANIA


Nimeweka hii risiti makusudi kuonyesha gharama ya kuingia makumbusho ya taifa.Gharama ni sh 1500/= kwa mkubwa na mwanafunzi 500 sisi wazawa.Idadi ya wazawa watu wazima kuindia ni ndogo sana tujitahidi kwenda na kuangalia utalii wetu wa ndani.Nawaasa wanafunzi wa IFM kwenda kutembelea makumbusho mana kwa wao ni karibu sana.Tujitahidi jamani watanzania utalii unaanzia kwetu wenyewe
Nilikutana na watoto wa shule mbalimbali wakiwa na walimu wao  wamefika kutembelea makumbusho na kujifunza na kutazana fahari zetu.






























































Brother Mkongo na rafiki yangu kipenzi Shinja












































No comments:

Post a Comment