Tuesday, July 20, 2010

Ajali ya treni  chanzo yawezekana ni uzembe wa dereva
Habari kutoka india zinasema kuwa uchunguzi wa awali unaonyesha kuwa uzembe na makosa ya dereva huenda ikawa ndio chanzo cha ajali ya treni iliyotokea jana tar 19.Mashuhudia wanasema kuwa treni hiyo kwa jina la Express liliwasili katika kituo mjini Sainthia  kwa mwendo wa kasi sana spidi 90km/h ingawa ratiba ilikuwa inaonyesha ni lazima isimame.Kitendo hicho kilipelekea kuligonga treni lililokuwa limesimama ndani ya kituo hicho.

No comments:

Post a Comment