Thursday, August 19, 2010

Hatimaye nimempata mtu wa kunisaidia kazi zangu na si mwingine ni first lady anayekwenda kwa jina la MISS APETITE. Yeye atakuwa anadili na mail mtakazokuwa mnatuma mimi sasa nikirudi nitakuwa naingia kitaani na kuleta mambo mazuri. Miss huyu atatambulishwa hapo baadae sanaaaaaaaaaaa.

NYIMBO MPYA ZIMEINGIA NDANI YA BLOG KAMA Chidi Beenz - On Fire, Stereo, One, Cyrill, Goz B, Izzo B, Mabeste & Young D - New Era muzik, na wimbo wa Banana ft Yang D - Wen she is High.

Mnaweza kuingia na kusikiliza, ingawa bado niko mbali ila Miss Apetite atakuwa anapandisha mdogo mdogo ili blog isiwe doro



DJ CHOKA aka Mr. Apetite
Artist DJ
Tel: +255 715 727873 begin_of_the_skype_highlighting              +255 715 727873      end_of_the_skype_highlighting or +255 775041002 begin_of_the_skype_highlighting              +255 775041002      end_of_the_skype_highlighting
Mail: djchoka@yahoo.com, djchoka@gmail.com,
Website: www.djchoka.blogspot.com,

No comments:

Post a Comment