Thursday, August 19, 2010

URUDISHWAJI WA FOMU YA URAIS KWA CHAMA CHA CUF  MCHANA HUU
Simu yangu kamera
Karibu na soko la ilala mbele ya jengo la chama cha walimu waendesha pikipiki walikuwa wakijiandaa kama hivi


Wengine walikuwa wanafanya mchezo wa hatari na pikipiki ya mchina.Sifa zinaponza baadhi yao walidondoka lakini hakuna aliyeumia. 

Mambo yallianza kama hivi kwa mbali


Wanachama walikuwa wengi sana na walikuwa wamebeba mabango yanayotoa ujumbe mbalimbali wa kuiponda serikali

Nadhani unaona si tu pikipiki ila hata baiskeli zilikuwa nyingi sana

Ukafika zamu ya gari lililokuwa limawabeba mgombea wa urais na makumu wake







No comments:

Post a Comment