Friday, August 27, 2010

Kenya imezalika upya leo
Raisi wa kenya mwai kibaki akiinua katiba mpya ya nchi hiyo akiashiria mwanzo wa kenya mpya leo katika viwanja vya uhuru.
Katika hotuba yake Mwai kibaki alisema "It’s a new dawn for Kenya, and we deserve to celebrate."

Waziri mkuu wa kenya Raila odinga nae katika hotuba yake alisema  "Our imprisonment in the colonial constitutional dispensation is over. The Imperial Presidency that the post-colonial regimes have created is now buried in history. A grand new republic - Kenya’s Second Republic - is born."

No comments:

Post a Comment