Uhuru Park asubuhi ya leo
Leo ni siku ya kihistoria kwa wananchi wa kenya ambapo katika viwanja vya uhuru kunashughuli ya kuzinduliwa kwa katiba mpya ya kenya.Pamoja na kuwa na viongozi wa nchi mbalimbali lakini serikali ya kenya imeona ni muhimu kwa wasanii wa nchi hiyo kuwa miongoni mwa watu watakao fanikisha siku ya leo iende salama na amani.Baadhi ya wasanii ambao wapo viwanjani hapo ni Jua kali, Nonini n.k.
Jua Cali "Watu wangu niko Uhuru Park tuko wasanii ka 13 tutakua tunaperform a new song to usher in a New Kenya.Am happy to be a part of history Bigup to wakenya wote Mungu amatutoa mbali....."
Nonini "History in the making and am proud to be experiencing it! Genge love mob"

No comments:
Post a Comment