Tuesday, August 17, 2010

Man u 3 Newcastle 0
Nani ndie aliyekuwa wa kwanza kuonyesha alama za hatari katika lango la Newcastle,Hapa akiwa anamtoka beki

Andy caroll  akiwania mpira na scholes kipindi cha kwanza cha mchezo.Hata hivyo wachezaji wa man walikuja juu na scholes alitoa pasi nzuri iliyomkuta babertov

Berbatov akiangalia mpira  unaokwenda nyavuni baada ya kupata pasi nzuri kutoka kwa scholes dakika ya 33


Fletcher akishangilia bao alilofunga dakika ya 41

Giggs aliyetokea bechi akipiga shuti la kiufundi sana ambalo lilizaa goli la tatu.

Akishangilia goli

Fergason akiwapongeza wachezaji pamoja na mashabiki wa Man u

No comments:

Post a Comment