VUNJA VUNJA MABANDA YA WALEMAVU KARUME
(simu yangu kamera)
(simu yangu kamera)
Asubuhi hii pia nimeshuhudia vunja vunja ya mabanda ya wale ambao hawukutii amri ya kuvunja mabanda yao wenyewe.
Waweza kumuona mgambo hapo akiwajibika na nyundo yake
Kwa mbali unawaona mgambo wakiendelea kuvunja vitu vilivyobakia mahali hapo
No comments:
Post a Comment