Leo asubuhi nimewakuta mashabiki wengi wa simba na yanga wakisubiria tiketi zianze kuuzwa katika ofisi za TFF karume.Nilimsikia mmoja wa mashabiki akilalamika "Yani tumeshafika kwa ajiri ya kununua tiketi lakini hizi tiketi zinauzwa kama gongo mpaka tutoe 500 ya ziada?"
Baadhi ya mashabiki wa yanga akiwa wanasubiri tiketi.
Shabiki wa simba kwa mbali akiwa anamuuzia vuvuzela shabiki mwenzie aliyekuja kununua tiketi
No comments:
Post a Comment