Friday, September 3, 2010

SAMAHANI KWA USUMBUFU WADAU
Waugwana napenda kuwaambia kuwa nitakuwa nje ya mji kwa muda wa wiki hivi.Kwa hiyo nitashinda kuwapa habari na matukio mapya kwa kipindi hiki lakini nikirudi nitawawekea matukio nitakayo kutana nayo.Samahani kwa usumbufu wowote utakao jitokea .

No comments:

Post a Comment