Friday, September 3, 2010

Wadau nataka angalizo lenu
Muda si mrefu nimepata sms katika simu yangu na imeshatapakaa sehemu nyingi inasomeka hivi
"Ukipigiwa simu kwa private number,au ikaandika call kwa red colour usipokee ni mionzi unaparalise na kufa.imetokea kenya watu wamekufa .wajulishe ndugu &jamaa wote"
Hii ni ukweli au ni ndio tunawekana roho juu tena?

No comments:

Post a Comment