Tuesday, October 12, 2010

DK. BILAL USO KWA USO NA BASHE
Mgombea Mwenza wa urais kupitia tiketi ya CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na aliyekuwa Kada Machachari wa CCM, Hussein Bashe, wakati walipokutana hivi karibuni mjini Bagamoyo. Dk. Bilal alisihi Bashe kuwa mvumilivu na kuwa na subira kama ambavyo amekuwa yeye kwa kipindi kirefu hadi fikia kuteuliwa kuwa mgombea Mwenza. Picha na Muhidin Sufiani

No comments:

Post a Comment