Mapokezi ya kishindo Uwanja wa Demokrasia Kipandamaiti
Barnaba, CCM Oyee
Barnaba na Lina, wrong number
Marlow akiimba CCM Pipi "Tumeanza kupiga honi na Pipi, Haooo Hawaelewani" uwanja wa demokrasia leo jioni
Marlow "Kiduku" style
Umati wa wana CCM na wananchi wa Unguja waliofurika uwanja wa demokrasia kipandamaiti
Utenzi
Kikundi cha Taarab cha Big Star kikitoa burudani
Maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni Unguja
Mwanachama wa CCM akiimba wimbo wa Marlow wa pipi wakati mwanamziki huyo alipoingia jukwaani kutumbuiza
Kikundi cha kiduku kutoka Dar es salaam kikitoa burudani kwa staili ya pekee
Wana CCM wakicheza kwa pamoja kabla ya mkutano wa kampeni kuanza
JK akihutubia maelfu ya wananchi na wana CCM wa Zanzibar katika uwanja wa Demokrasia (zamani kibanda maiti) huko Unguja jana














No comments:
Post a Comment