Thursday, October 7, 2010

Morocco imeshawasili Tz usiku wa kuamkia leo
Mchezaji Chamakh wa timu ya Ligi Kuu ya Uingereza Asenal FC wa pili kuoka kulia akiongozana na wachezaji mwenzake kuingia kwenye basi tayari kwa kuelekea hotelini mara baada ya kuwasili jijini Dar es salaam usiku huu.

Hapa wakislimiana na mmoja wa maafisa kutoka Ubalozi wa Moroco

picha kwa msaada

No comments:

Post a Comment