Friday, November 26, 2010

JIJILETU LEO


Hoja toka kwa mdau anae penda maendeleo ya nchi yake kusema kweli majengo yanajengwa tena mazuri sana. ila hizi barabara  zitaweza kuhimli foleni za magari yote hapa jijini ? mfano angalia mjengo machakavu yanavyo endelea kubomolewa na kujengwa mahorofa kama haya bila kupanua barabara mapema nasiku zinyozidi kwenda wanchi wanazidi kujenga majengo marefu pembezoni mwa barabara upanuzi wa barabara utaendelea kwa stayle hii??


Hii ndio bomgo ya sasa kama inavyoiyona  mdau

No comments:

Post a Comment