Matikio katika picha:Mechi ya jana kati ya Rwanda na kilimajaro stars
Wakati wa nyimbo za taifa za nchi mbili
Dakika za mwanzo za mashambulizi katika lango la timu ya Rwanda
Wakita wa kujiandaa kupiga penati iliyozaa goli ambalo ndio lilikuwa la ushindi ambalo lilifungwa na Nsajigwa kapteni wa timu ya kilimanjaro stars
No comments:
Post a Comment