Wednesday, December 8, 2010

Mazoezi ya African lyon jana
Mmoja wa viongozi wa timu akifuatilia mazoezi kwa ukaribu zaidi



Kocha wa timu akiwa kazini kuwaelekeza wchezaji nini cha kufanya.




Kocha akitoa maelekezo kwa vitendo wakati wa mazoezi


No comments:

Post a Comment