Siku ya Kimataifa ya Watu wenye Ulemavu, Mkuranga
picha za Matukio ya Naibu Waziri Ummy Ali Mwalimu wakati wa Siku ya Kimataifa ya Watu wenye Ulemavu, Mkuranga. Jumla ya Baiskeli 50 Zimetolewa kwa Ajili ya kuwasaidia Watu wenye Ulemavu Wilayani humo. Mhe. Ummy Ali Mwalimu akimkabidhi Mtoto mwenye Ulemavu wa Miguu Baiskeli ya kumwezesha kutembea.
Waheshimiwa Ummy Ali Mwalimu na Mhe.Al-Shymaa Kwegyr- Mbunge Viti Maalum Walemavu wakimsaidia mlemavu namna ya kutumia baiskeli hiyo.
Mhe.Al-Shymaar akiwasalimia Wananchi wa Kata ya Kimanzichana,Mkuranga
Mhe.Ummy Ali Mwalimu,Mhe.Al-Shymaar wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Mhe. Henry Orauya( Wa pili Kulia) pamoja na Viongozi Wakuu wa Wilaya hiyo, mara baada ya kuwasili Wilayani hapo.
Mhe.Ummy Ali Mwalimu akisoma Hotuba yake wakati Siku ya Walemavu.
Picha zote na Asteria Muhozya wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii.
asante sana mdau wetu
No comments:
Post a Comment