Ussi mwambereko ANATANGAZA KIFO CHA BABA YAKE MZAZI
Ussi mwambereko hamza
Kwa wasiomfahamu au kumsahau alimalia Feza boys 2000-2003.Amefiwa na baba yake mzazi Mzee mwambeleko.Kifo imetokea Arusha ambapo ndio alipokuwa anaishi.Mwili wa marehemu unasafirishwa kuelekea Tanga kwa mazishi.
Mwinyiusi "Dear friend napenda kukutaarifu kuwa baba yangu mzazi mzee mwambereko hatupo nae tena duniani.mungu ailaze roho yake mahali pema peponi ameen"
ussi pole sana classmate ,friend and former neighbor (njoro) may god Rest his soul in peace and we all are praying for you and your family for a quick relief/recovery (we all pass the same path just on different shoes)
ReplyDeletemuch love bra
urs ---- blackvirus