UWANJA WA TAIFA UMETAPIKA KWA MARA YA KWANZA
wadau nilikuwa naelekea uwanja wa taifa kuangalia mechi ya kilimanjaro stars vs Burundi.Niliyoyakuta sikuamini kabisa mana uwanja wa Taifa umejaa kupita kiasi mpaka watu wamekataliwa kuingia zaidi.Kwa makadirio watu walioingia wanawea kupita 70000 yani ni zaidi ya kiwango kinachotakiwa watu kuingia yani 60000.
Watu wakisubiri kuingia uwanjani ingawa wamekataliwa kuingia zaidi.
Ikabidi niondoke niende nikatizame mpira kupitia luninga nyumbani
Ndio inavyotakiwa hivyo wabongo tunapenda sana soka la mpira lakini uwezo na umasikini we acha tu.
ReplyDelete