Saturday, December 4, 2010

UWANJA WA TAIFA  UMETAPIKA KWA MARA YA KWANZA
wadau nilikuwa naelekea uwanja wa taifa kuangalia  mechi ya kilimanjaro stars vs Burundi.Niliyoyakuta sikuamini kabisa mana uwanja wa Taifa umejaa kupita kiasi mpaka watu wamekataliwa kuingia zaidi.Kwa makadirio watu walioingia wanawea kupita 70000  yani ni zaidi ya kiwango kinachotakiwa watu kuingia yani 60000.

Watu wakisubiri kuingia  uwanjani ingawa wamekataliwa kuingia zaidi.




Ikabidi niondoke niende nikatizame mpira kupitia luninga  nyumbani

1 comment:

  1. Ndio inavyotakiwa hivyo wabongo tunapenda sana soka la mpira lakini uwezo na umasikini we acha tu.

    ReplyDelete